Habari Mpya

Powered by Blogger.

Videos

KITAIFA

KIMATAIFA

BIASHARA

KILIMO

HABARI PICHA

» » » Hatua Tatu za Ukawa zinazowachanganya CCM
Unknown

Ukawa waliponyamaza,wazushi walisema hawana mgombea,Wagombea Lipumba na Lowassa wamejitokeza,wamezusha Slaa kajitoa chadema,Je! wakiingia ikulu mtasemaje?Maisha ya kila siku ni sehemu ya kila mmoja kutaka mema,hata kama mwingine ni mtenda mabaya,akionekana ubaya wake umejulikana anatumia mbinu zozote kuuzima kwa kupandilia treni mbele,kitu ambacho kinaitafuna ccm,kwa Ukawa wengi wamesema juu ya Slaa kuzila ma kujitoa chadema kitu ambacho ni uzushi wa kisiasa,ukawa wanahatua zenye umoja na nguvu ya umoja wa kushirikisha watanzania kujitambua na kuachana na watu wanao zusha mpasuko,nahatimae siku zaja za kuwaumbua wanao potosha,na watazusha lipi baada ya Ukawa kuingia ikulu?waswahili husema njia ya muongo ni fupi na hatima ya waongo itawekwa wazi,Kwa umakini wa Ukawa ni wazi kuwa inahatua zake,imejadili kumtoa mgombea,ikakubaliana kumtangaza,na hatimaye kuingia Ikuli kwa hatua hizo niwazi kuwa wengi wameona wivu na kupotosha na siku zote umoja ni nguvu,na kwa umoja huu mtanzania kajiandikishe na upige kura.

«
Mbele
HTC Desire 820 - Full phone specifications - GSM Arena
»
Nyuma
Watu milioni 1.6 wamdhamini Lowassa