Habari Mpya

Powered by Blogger.

Videos

KITAIFA

KIMATAIFA

BIASHARA

KILIMO

HABARI PICHA

» » KILIMO CHA SWEET MEON NI KAMA MADINI.
Unknown

Mkulima wa sweet melon ni mkulima anayetumia akili nyingi kulea miche ya matunda haya,kilimo hiki kipo Uganda,Kenya,Afrika Kusini,na Tanzania baadhi ya mikoa kama Kilimanjaro,Arusha,Mara, na Baadhi ya maeneo Dar es salaam,matunda haya ni tofauti na Matikiti ya kawaida,na yako aina nyingi kama Melon Ananas,Yana,Honey Dews,n.k matunda haya hutibu magonjwa mengi na kukinga maradhi mbalimbali,ni moja ya matunda yanayopendwa sana na wadudu,na wanyama maana majani yake yana sukari,kwa kawaida huzaa matunda zaidi ya alobaini,ambapo huanza kuzaa yakiwa na siku 45 hadi 50 na hutoa matunda yaliyokomaa zaidi wa matatu kwa kila mchumo mmoja,pamoja na kuwa matunda yenyewe ni Bei gali,hata utunzaji wake unahitaji Garama,ambapo heka inaweza kugaramiwa kwa milioni moja na nusu kwa kuhudumia shamba lenye matunda aina ya Honey Dews ambayo yanasoko kubwa na yanaweza kukaa hadi mwaka mzima yakisubiri soko,Tunda moja huuzwa elfu 6-10 heka inaweza kuuzwa kuanzia Milioni 12 hadi 17.5 Mengine kama Ananas hugarimu laki 5 hadi 7.5 yana kubali udongo wa tofauti na matikiti,yana namna ya kupandwa na madawa yake huwa na namna ya kupiga na kuweka ardhini,kitu ambacho huwashinda wengi hatimae kuyapuuza,matunda haya yanauzwa mahotelini na masoko ya kitalii,hayapatikani magengeni maana watu wa maisha ya kawaida hawayajui,kwa maelezo zaidi yahusuyo kilimo cha kisasa na ushauri wa kilimo,piga 0656=999-965 
E-mail fokonews@gmail.com

«
Mbele
MILIKI KOMPUTA KWA BEI CHEE
»
Nyuma
USIKWEPE KILIMO MAANA NI HAZINA