Habari Mpya

Powered by Blogger.

Videos

KITAIFA

KIMATAIFA

BIASHARA

KILIMO

HABARI PICHA

» » » WHO,YAFURAHIYA CHANJO DHIDI YA EBORA
Unknown

Shirika la afya duniani WHO, limesifia matokeo ya chanjo mpya ugonjwa wa Ebola, ambayo inatoa asilimia 100% ya kinga baada ya majaribio yake nchini Guinea.
WHO linasema kuwa ulimwengu unakaribia zaidi kupata chanjo mpya dhidi ya ugonjwa huo hatari wa Ebola.
Dawa ya chanjo hiyo ilijaribiwa maelfu ya watu, mara tu mtu mmoja aliyekuwa karibu nao alipoambukizwa ugonjwa huo, lakini baada ya kutibiwa kwa siku kumi hakuna hata mmoja wao alikuwa ameambukizwa ugonjwa huo.#bbc

«
Mbele
Jinsi ya kuanzisha biashara ya vipodozi
»
Nyuma
DR SLAA AKANUSHA UZUSHI WA WANAODAI KUKIHAMA CHADEMA