ROSE MUHANDO AZIDI KUPASUA VICHWA VYA WALIO MCHAFUA
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Rose Muhando azidi kupanda viwango na kuwa Gumzo ndani na nje ya nchi,kitu ambacho kumezua mijadala kwa watumishi mbalimbali,imekaririwa Askofu mmoja akisema Rose ni mtumishi ambaye anakua na kuongezeka hata kama watamfitini na kutengeneza lawama,bado namba yake ni namba ya juu,akiongea na Foko,moja wa watu wanaohusika na usambazaji wa CD mya ya Rose iitwayo UMEKOSEA MAPITO,alidai kua bado dada yetu anafanya vizuri sokoni ni moja ya waimbaji ambao hupanda kia kukicha,na wamekuwa wahubiri kwenye mabaa na maeneo mbaimbai ya starehe ambako wachungaji hawafiki,hata hivyo Foko,ilimshuhudia mama mmoja akichukua nakala huku akidai kuwa wengi wamzipokea kwa kishindo sokoni.
Imeelekezwa: habari mpya habari picha Kitaifa