Habari Mpya

Powered by Blogger.

Videos

KITAIFA

KIMATAIFA

BIASHARA

KILIMO

HABARI PICHA

» » » SIRI YAFICHUKA LIPUMBA NI MCCM
Unknown

Baadhi ya watanzania wamesema pamoja na Lipumba kudai katika hotuba yake kuwa hajaafiki Mtu aliye husika kutoleta katiba ya wananchi,ailete kwa kuhamia UKAWA kuileta katiba,wamedai kama angelikuwa mzalendo asingetoka nje ya bunge la katiba,na hata akisema kaanzisha ukawa ukawa imeanzishwa na wanaounga mkono katiba ya wananchi,ndiyo maana hata sasa ameshindwa kusimamia ukweli wake anaoudai kuwa yeye hajatendewa haki,ikumbukwe wazi kuwa yeye alikuwa mgombea wa CUF tangu 1995 akashindwa na hadi mwaka 2000 alisababisha mauwaji ya Watanzania wa Mwembe Chai na Pemba,Watu wakauwawa wasiyo na hatia kwa kua hata sasa ameisha fanya watanzania kuwa niwa jinga,nao wameisha msoma tangu aliposhawishiwa na ccm kujiunga na ccm,alinunuliwa kuidhoofisha CUF, na baada ya hapo upnzani wa CUF ukadhoofu,na kupitia hatua hizi baadhi ya wajuzi wa kisiasa waliona huyu ni adui wa mabadiliko,ndiy maana hata maandamano yake yalikuwa ya kuumiza wananchi na wengine kukamatwa maana alikuwa ni chambo cha kutumiwa na ccm kuhujumu CUF na kudhofisha upnzani,Lipumba alitumiwa na adui kupita kila kona waliko wapinzani wa kwenli na alisababisha mauwaji na wengine kukamatwa na kupelekwa mahakamani,yeye alikuwa mleta vurugu siyo haki. Waswahili wanasema lisemwalo lipo na kama halipo linakuja na hatimaye kajitoa kwa lengo la kuua mabadiliko ya Watanzania,wengi wasema siasa ya lipumba ni siasa ya kusaka tonge,akiisha kupokea tonge hukimbia,na sasa baada ya kupokea Rushwa amesaliti watanzania kwa kusingizia kuwekwa mtu asiyestahiri,je! yeye anastahili?maisha ya watanzania hupiganiwa na watanzania wenyewe,lipumba hata kama angepewa uongozi angeiuza Nchi.Huu ni wakati wa kufanya mabadilik bila kuangalia sura,hata adui waumbuke.

«
Mbele
Walipochukua Fomu wadaku hawakukosa la kusema
»
Nyuma
Timu iliyo pangwa Ukawa ni watu wenye uwezo wa kisaikolojia na kusimamia wanachokijua.