Habari Mpya

Powered by Blogger.

Videos

KITAIFA

KIMATAIFA

BIASHARA

KILIMO

HABARI PICHA

» » » Timu iliyo pangwa Ukawa ni watu wenye uwezo wa kisaikolojia na kusimamia wanachokijua.
Unknown

Uteuzi wa umoja wa Ukawa umekuwa Gumzo kwa watanzania kwa kuweka wagombea wachapa kazi ambao wote wanauwezo wa kusimama mahali palipobomoka pakatengenezeka,Foko News ikiongea na baadhi ya wataalam wa kisiasa wamesema huu ni uamuzi wa kuonyesha ukomavu wa kisiasa bila kuangalia ukabila na udini,kitu ambacho kilikuwa taabu sana kwa muda mrefu,wagombea hawa wameweka wazi mwonekano uliyo wasukuma kugombea Kuiongoza Tanzania ili kuleta mabadiliko ya katiba na kuondoa madhaifu yaliyo kuwa tatizo miaka mingi.

«
Mbele
SIRI YAFICHUKA LIPUMBA NI MCCM
»
Nyuma
Lowassa akiwa katika hotuba asema oct/25 Ukawa itachukua Dola.