USIKWEPE KILIMO MAANA NI HAZINA
Watanzania na Wafrika wengi tumekuwa tukidharau kilimo,hasa wakati watu wengi tulipoanza kuhamia mjini,tukaanza kusahau jembe,hatimaye wasio na elimu wamebaki kuishi kwa mashaka kutokana na kupoteza matumaini ya kufanikiwa.Watu wengi wenyemafanikio kiimo ni sehemu ya maisha yao maana wameisha kujua umuhimu na mafanikio kupitia mazao.
Imeelekezwa: kilimo