Asema kinachompa msukumo wa kugombea ni kuhusu kulitumikia watanzania, na Ukawa,anasema kila mwenyenia ya kugombea ni mwenye msukumo wa ndani wenye nia ya kujitolea kwa wananchi,na lazima kuwa na maamuzi magumu,kwa kuleta mabadiliko,ameweza kuwashukuru Ukawa na kuahidi kuwa tarehe Ishirini ni siku ya kuchukua Dola tena asubuhi,amesema sasa siyo safari ya matumaini sasa ni safari ya matumaini,amempongeza sana Mbatia,na kumpongeza Seifu na kusema kujiunga kwake na Seifu ni kuvunja muungano,yeye kasema hatavunja muungano,na wale wanao taka kukusanya pesa kwa kukimbia nchi wasiwe na wasiwasi,bali watulie,
Kuhusu amani amesema wanao sema Amani ya nchi itavunjika haita tokea bali itatokea kwao wenyewe.
Na umoja wa Ukawa kwa kujiamini na baada ya hapo wanachadema na ukawa wameitikia kwa Nguvu na kuhakikisha kuwa watakuwa na ushirikiano,
Ameahidi kupita jimbo kwa jimbo na kuleta mabadiliko,amesema kazi mbele kwa mbele tukutane kwenye majimbo.