Habari Mpya

Powered by Blogger.

Videos

KITAIFA

KIMATAIFA

BIASHARA

KILIMO

HABARI PICHA

» » Walipochukua Fomu wadaku hawakukosa la kusema
Unknown

Wadaku katika medani ya kuuza magazeti na kutumiwa na wahujumu uchumi wa nchi,kitu ambacho kinawatafuna watanzania na hata hao wanaofanya udaku kupotosha watu kwa kuingiza taifa kwenye utawala wa kiduni na mikandamizo ya kimasikini,ambapo watanzania wengi wamekuwa watu wa kuwaza njaa badala ya maendeleo,na uduni huu umekuwa sehemu ya kudidimiza uchumi kwa kujimilikisha kifalme nchi ya watu zaidi ya mil 45 kitu ambacho kufikia miongo ijayo hakutakuwa na madini zaidin ya mashimo na watakao kuja hawata ambulia kitu,hatimae hata watakao kuja huenda wakawa wanakumbwa na majanga ya ardhi kubomoka kama maeneo ya Kahama,Geita,Mgusu,Nyamongo,Merelani,na sehemu zingine,je! hawa watu wa udaku wanao potosha wanajitazama wao tu! kwa kutetea wadharimu kujikinai kwa mali za kitaifa kitu ambacho kimepelekea taifa kukosa pesa na pesa zote kuhamishiwa mikononi mwa viongozi wa ccm.

«
Next
Newer Post
»
Nyuma
SIRI YAFICHUKA LIPUMBA NI MCCM