Bodaboda wasema Kauli ya Magufuli ni maneno tu! kama Ahadi za JK
Foko news imekua ikipata habari za michanganuo mbalimbali ya vijana wengi maeneombalimbali kuhusiana na kauli za Magufuli aliyedai kuwa endapo kama watamchagua atahakikisha wasikamatwe na polisi,kitu ambacho makundi ya vituo mbalimbali wamesema Matrafiki huwakamata kwa lengo la kutekeleza mradi wa wakuu wao,kitu ambacho hakiwezi kuisha kwa kumpitisha Magufuli,mmoja akaeleza kuwa kama alijua kuwa akichaguliwa atawalinda huo utakui wake na wenzake kunyia makusudi ili wawaombe kura,nao wasema kwa muda wote huo kama walikuwa hawajaliona hilo wao wameafiki kuleta mabadiliko, ila kwa habari ya kuwakodi kupeleka makada wao mikutanoni wako teali maana wapo kazini,kama ni kura itakayo waondolea kukamatwa wasema hapo Magufuli aende na gia nyingine wenzake walisha kuja kwa ahadi ya maisha bora matokeo yake wamefirisi nchi.
Imeelekezwa: biashara