Ni wazi kwamba nchi yetu imevamiwa na wahalifu ambao hutumia Nguvu za Giza kupumbaza watanzania wasione makosa yanayo tendwa na utawala uliok madalakani,tangu nizaliwe sijawahi kuona Nchi yeyote ikitumia noti aina mbili,ila kwa mara ya kwanza nimeiona Tanzania NA WANAOFANYA HAYA WAKO SALAMA WALA HAWANA WASIWASI.
Maisha yamepanda na suruhisho hakuna kwa wajisemeao kuwa ni viongozi wa taifa huku wanadidimiza nchi na kujiwekea wigo wa ulinzi kwa kutumia Dola,haki ya mwananchi kufanya maamuzi inauwawa na kupuuzwa ilimradi wenye madaraka wale na kujikinai wanavyotaka,noti zetu halali siyo hizi za utawala wa kikwete,ndiyo maana hata marekani imewekea kikwazo moja ya Benk inayojihusisha na utakatishaji wa Pesa,moja wapo ya maswali tunayopaswa kujiuliza ni pamoja na kwanini noti mpya ni noti zinazolika,na hata zilipotolewa serikali haikufuta za zamani,hii imekula kwetu,na nawahurumia sana wanaoshabikia ccm ambayo imetupelekea umasiini na madeni ambayo i zaidi ya yale tuliyosamehewa miaka kumi iliyopita,Serikali haina pesa pesa wamebeba viongozi wa kisiasa za chama tawala,kitu ambacho kinaligarimu taifa hadi sasa waliyo fanya uhalifu wanatumia chuki kujisafisha na kuwafanya watanzania wasione uovu wao,wanausukuia ambao hawajawahi kuchukua Dola na wao kutumia pesa zetu kuua uchumi na kuhaibu maisha ya wananchi,huku wakiimba amani amani huku wanaua na kuharibu hazina za vizazi vijavyo.
Habari Mpya
Powered by Blogger.
Videos
KITAIFA
KIMATAIFA
BIASHARA
KILIMO
HABARI PICHA
Mwanzo
»
habari mpya
»
Kitaifa
» Je! ni halali nchi kutumia Noti aina mbili?na kama ni halali kwanini mataifa mengine hawatumii?
Annie ChiwiliMuongozaji

Tunahusika na habari za waimbaji pamoja na nyimbo zao,na kuwatangaza ili kufahamika kimataifa.
Unaweza kupenda hizi...
Waliotazama
9568
MAARUFU
-
Mkulima wa sweet melon ni mkulima anayetumia akili nyingi kulea miche ya matunda haya,kilimo hiki kipo Uganda,Kenya,Afrika Kusini,na Tanz...
-
Kwa ufupi Usajili wa vipodozi unajumuisha utathimini wa taarifa za ubora na usalama wa viambata vilivyotumika, uchunguzi wa kimaabar...
-
Asema kinachompa msukumo wa kugombea ni kuhusu kulitumikia watanzania, na Ukawa,anasema kila mwenyenia ya kugombea ni mwenye msukumo wa ...
-
Watanzania na Wafrika wengi tumekuwa tukidharau kilimo,hasa wakati watu wengi tulipoanza kuhamia mjini,tukaanza kusahau jembe,hatimaye was...
-
Makada CCM wamfuata Chadema Mwandosya asema Lowassa ni maarufu atakayempuuza apuuzwe yeye Waandishi Wetu, Dar/mikoani SIKU moja baada ...
-
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Rose Muhando azidi kupanda viwango na kuwa Gumzo ndani na nje ya nchi,kitu ambacho kumezua mijadala kwa watum...
-
Baada ya magufuli kusema pale dodoma kuwa hata waangusha wana ccm,kisha akasema anajua shida za watanzania,kisha akaja na Kutetea waendesh...
-
Baadhi ya watanzania wamesema pamoja na Lipumba kudai katika hotuba yake kuwa hajaafiki Mtu aliye husika kutoleta katiba ya wananchi,ailet...