Habari Mpya

Powered by Blogger.

Videos

KITAIFA

KIMATAIFA

BIASHARA

KILIMO

HABARI PICHA

» » » » MILCA KAKETE MWIMBAJI WA INJILI AMBAYE KAFANIKIWA KUSHINDA KIBURI
Unknown

Mwimbaji Milca Kakete amekua na muda mwingi na watu wote bila kuchagua mwenyeuchumi au mwenyesifa falani,kitu ambacho kimewashinda waimbaji wengi,hata hivyo amekuwa na moyo wa kufurahia huduma za wengine na kufufanyika baraka kwa wengi,siri kubwa ya dada huyu nipae ambapo amejitoa katika makundi ya kusaka umaarufu na kubeba Ibada hai moyoni mwake,kitu ambacho kimekua muhuri katika maisha yake na machoni pa wengi,akiongea na Foko News kabla hajarejea nchini Canada alisema moyo wake ni kuona Mungu anatajwa kila mahali na akaamua kufanya kampeni ya kuuza DVD zake kwa kutoa pesa ziwanunulie watumishi waishio vijijini,pamoja na mafanikio makubwa ya kiroho,pia amefanikiwa kuondoa kiburi cha uzima ambacho huwafanya wengine kujitofautisha na jamii.

«
Mbele
Watu milioni 1.6 wamdhamini Lowassa
»
Nyuma
ROSE MUHANDO AZIDI KUPASUA VICHWA VYA WALIO MCHAFUA