Tundulisu akitoa Maneno ya Utangulizi kuzima uvumi wa mitandaoni
Baada ya Uvumi kuwa Lisu,Silaa,Mnyika kuodoka Lisu aweka wazi na kuweka sawa habari zilizo vuma hasa mitandaoni zilizo dai kuwa wamekisusa chama na kutoonekana katika siku ya kumkaribisha Lowasa,Hata hivyo Lisu ameonyesha wazi furaha na umoja wa Ukawa kutobania wengine kama ilivyo kwa vyama vingine,hatimaye sasa Lowasa kuchukua Fomu na Majukumu ya umoja huo yanaendelea.
Imeelekezwa: habari mpya Kitaifa yaliyotokea