Habari Mpya

Powered by Blogger.

Videos

KITAIFA

KIMATAIFA

BIASHARA

KILIMO

HABARI PICHA

» » KILIMO CHA MATUNDA HUINUA UCHUMI
Unknown

Baadhi ya wajasilia mali wanaojitoa kulima wamekua na mafanikio makubwa sana kwa kulima matunda kama matikiti nyanya na nanasi,kitu ambacho wengi hudharau na kuona kama ni sehemu ya Kupoteza muda,hata hivyo kuna changa moto kubwa kwa wakulima ambayo ni ukosefu wa nyenzo na ujuzi wa kukabiliana na magonjwa,na uelewa wa wengi bado hawajui udongo unaofaa kufanikisha mavuno mengi.

«
Mbele
STAMICO YAONGEZA UKUSANYAJI MAPATO
»
Nyuma
HATIMAYE LOWASA AICHUKUA FORMU YA KUWANIA URAIS UKAWA