Habari Mpya

Powered by Blogger.

Videos

KITAIFA

KIMATAIFA

BIASHARA

KILIMO

HABARI PICHA

» » » » Uwezekano wa kuzuia goli la mkono Ni mkubwa,na Lowassa atapeperusha Bendera.
Unknown

Wakati mheshimiwa Lowassa akiwekwa rasmi Ukawa,uwezekano wa kuzuia Goli la mkono upo,maneno hayo yamewekwa wazi na Halima Mdee,kwa kujiamini na maneno hayo yamegusa wengi na kuonyesha matumaini makubwa ya ushindi kwa kile alicho sema kuwa Chizii mwenyewe tunaye,na hii imeonesha umakini wa umoja wa Katiba ya wananchi,uhakika unaojengwa na umoja huo ni kuleta mabadiliko nchini,kitu ambacho kitaondoa madaraka ya mabavu dhidi ya wananchi.

«
Mbele
Mhe.Juma Duni Haji,Asema umasikini wa watanzania unafanywa kimakusudi.
»
Nyuma
Milca Kakete Aingiza sokoni album zake Mbili kwa mpigo.