Habari Mpya
Videos
KITAIFA
KIMATAIFA
BIASHARA
KILIMO
HABARI PICHA
LEMA KUJITOSA KWENYE KAMPENI
Na: Unknown muda 4:47 PM / maoni : 0 biashara
" Kampeni za Ubunge Arusha Mjini zinaanza kesho Novemba 5, 2015
Uchaguzi utafanyika Disemba 13, 2015
Bado tunapambania #Mabadiliko
Tushirikiane kufanya mabadiliko makubwa katika Halmashauri yetu ya Jiji la Arusha. Tuna madiwani 24 kati ya 25 walioshinda kwenye Kata.
Tunatakiwa sasa kutetea nafasi yetu ya Ubunge kwa kura nyingi mno."HAYO YAMESEMWA NA WADAU WA UKAWA.
The Wrath Of Vajra
Na: Unknown muda 4:26 PM / maoni : 0 videos
Unajua Thamani ya tofali moja ya Dhahabu ambayo ni kilo moja?Jihoji Mtanzania
Na: Unknown muda 6:03 PM / maoni : 0 biashara, habari picha
Rushwa hii ya Magufuli haitafautiani na ile ya Maisha Bora kwa kasi mpya.
Na: Unknown muda 1:50 PM / maoni : 0 Kitaifa
Je! ni halali nchi kutumia Noti aina mbili?na kama ni halali kwanini mataifa mengine hawatumii?
Na: Unknown muda 10:14 PM / maoni : 0 habari mpya, Kitaifa
Maisha yamepanda na suruhisho hakuna kwa wajisemeao kuwa ni viongozi wa taifa huku wanadidimiza nchi na kujiwekea wigo wa ulinzi kwa kutumia Dola,haki ya mwananchi kufanya maamuzi inauwawa na kupuuzwa ilimradi wenye madaraka wale na kujikinai wanavyotaka,noti zetu halali siyo hizi za utawala wa kikwete,ndiyo maana hata marekani imewekea kikwazo moja ya Benk inayojihusisha na utakatishaji wa Pesa,moja wapo ya maswali tunayopaswa kujiuliza ni pamoja na kwanini noti mpya ni noti zinazolika,na hata zilipotolewa serikali haikufuta za zamani,hii imekula kwetu,na nawahurumia sana wanaoshabikia ccm ambayo imetupelekea umasiini na madeni ambayo i zaidi ya yale tuliyosamehewa miaka kumi iliyopita,Serikali haina pesa pesa wamebeba viongozi wa kisiasa za chama tawala,kitu ambacho kinaligarimu taifa hadi sasa waliyo fanya uhalifu wanatumia chuki kujisafisha na kuwafanya watanzania wasione uovu wao,wanausukuia ambao hawajawahi kuchukua Dola na wao kutumia pesa zetu kuua uchumi na kuhaibu maisha ya wananchi,huku wakiimba amani amani huku wanaua na kuharibu hazina za vizazi vijavyo.
Bodaboda wasema Kauli ya Magufuli ni maneno tu! kama Ahadi za JK
Na: Unknown muda 7:56 AM / maoni : 0 biashara
Walipochukua Fomu wadaku hawakukosa la kusema
Na: Unknown muda 11:20 PM / maoni : 0 Kitaifa
SIRI YAFICHUKA LIPUMBA NI MCCM
Na: Unknown muda 8:52 AM / maoni : 0 habari mpya, Kitaifa
Timu iliyo pangwa Ukawa ni watu wenye uwezo wa kisaikolojia na kusimamia wanachokijua.
Na: Unknown muda 7:03 PM / maoni : 0 habari mpya, Kitaifa
Lowassa akiwa katika hotuba asema oct/25 Ukawa itachukua Dola.
Na: Unknown muda 4:59 PM / maoni : 0 habari mpya, Kitaifa
Kuhusu amani amesema wanao sema Amani ya nchi itavunjika haita tokea bali itatokea kwao wenyewe.
Na umoja wa Ukawa kwa kujiamini na baada ya hapo wanachadema na ukawa wameitikia kwa Nguvu na kuhakikisha kuwa watakuwa na ushirikiano,
Ameahidi kupita jimbo kwa jimbo na kuleta mabadiliko,amesema kazi mbele kwa mbele tukutane kwenye majimbo.
Mhe.Juma Duni Haji,Asema umasikini wa watanzania unafanywa kimakusudi.
Na: Unknown muda 4:31 PM / maoni : 0 habari mpya, Kitaifa
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) ngazi ya Taifa na Waziri wa Afya wa Serikali ya Zanzibar, Mhe.Juma Duni Haji amepitishwa rasmi kuwa Mgombea Mwenza wa Mhe.Edward Lowassa kupitia CHADEMA. Hii ina maana Duni amejiuzulu dhadhifa zote ndani ya serikali na ndani ya chama chake CUF ikiwa ni pamoja na kujivua uanachama wa CUF na kupewa kadi ya uanachama ya CHADEMA. Amesema umasikini wa watanzania ni umasikini wa kimakusudi ili ccm iwatawale watanzania kwa urahisi,amesema hakuna unafuu wa maisha hata kwa waalimu ambao ni kiungo mhimu cha watanzania na dunia nzima,amegusia madai ya adactari wanao daihaki yao na kupigwa mabomu,ameomba wana usalam wajali wana nchi huku wakijua kuwa wananchi ndiyo wanao wafanya kula lakini wanawaua kwa mabomu,ameongeza kusema kuwa umoja wa ukawa ni sehemu ya mabadiliko na wakati ni sasa kuanzia ndani ya familia zetu na hatimaye kuleta mabadiliko.
Uwezekano wa kuzuia goli la mkono Ni mkubwa,na Lowassa atapeperusha Bendera.
Na: Unknown muda 3:57 PM / maoni : 0 habari mpya, Kitaifa, yaliyotokea
Milca Kakete Aingiza sokoni album zake Mbili kwa mpigo.
Na: Unknown muda 11:02 PM / maoni : 0 biashara, habari mpya, habari picha, kimataifa, Kitaifa
Waliotazama
MAARUFU
-
Mkulima wa sweet melon ni mkulima anayetumia akili nyingi kulea miche ya matunda haya,kilimo hiki kipo Uganda,Kenya,Afrika Kusini,na Tanz...
-
Kwa ufupi Usajili wa vipodozi unajumuisha utathimini wa taarifa za ubora na usalama wa viambata vilivyotumika, uchunguzi wa kimaabar...
-
Asema kinachompa msukumo wa kugombea ni kuhusu kulitumikia watanzania, na Ukawa,anasema kila mwenyenia ya kugombea ni mwenye msukumo wa ...
-
Watanzania na Wafrika wengi tumekuwa tukidharau kilimo,hasa wakati watu wengi tulipoanza kuhamia mjini,tukaanza kusahau jembe,hatimaye was...
-
Makada CCM wamfuata Chadema Mwandosya asema Lowassa ni maarufu atakayempuuza apuuzwe yeye Waandishi Wetu, Dar/mikoani SIKU moja baada ...
-
Baada ya magufuli kusema pale dodoma kuwa hata waangusha wana ccm,kisha akasema anajua shida za watanzania,kisha akaja na Kutetea waendesh...
-
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Rose Muhando azidi kupanda viwango na kuwa Gumzo ndani na nje ya nchi,kitu ambacho kumezua mijadala kwa watum...
-
Baadhi ya watanzania wamesema pamoja na Lipumba kudai katika hotuba yake kuwa hajaafiki Mtu aliye husika kutoleta katiba ya wananchi,ailet...